Maelezo ya Chini
a Baada ya uvumbuzi huo, Profesa André Lemaire aliripoti kwamba kufanyizwa upya kwa mstari ulioharibika kwenye jiwe liitwalo Mesha stela (liitwalo pia Jiwe la Moabu), lililovumbuliwa mwaka wa 1868, kwafunua kwamba hilo pia lina rejezeo kwenye “Nyumba ya Daudi.”4