Maelezo ya Chini b Kulingana na maana hususa, dunia ni tufe lililo na sehemu tambarare kidogo kwenye ncha zalo.