Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Kuna uthibitisho thabiti wa kwamba vitabu vya Maandiko ya Kiebrania—kutia ndani Isaya —viliandikwa muda mrefu kabla ya karne ya kwanza W.K. Yule mwanahistoria Josephus (karne ya kwanza W.K.) alionyesha kwamba maandishi yanayokubalika ya Maandiko ya Kiebrania yalikuwa yamethibitishwa muda mrefu kabla ya siku yake.8 Kwa kuongezea, Septuagint ya Kigiriki, tafsiri ya Maandiko ya Kiebrania katika Kigiriki, ilianzwa katika karne ya tatu K.W.K. na ilikamilishwa kufikia karne ya pili K.W.K.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki