Maelezo ya Chini
c Mafungu mengine yaonyesha picha kamili ya kuteseka kwa Yobu. Nyama yake ilifunikwa kwa mabuu, ngozi yake ilifanyiza maganda, na pumzi yake ilikuwa yenye kuchukiza sana. Yobu alikuwa na maumivu tele, na ngozi yake iliyogeuka kuwa nyeusi ilianguka.—Ayubu 7:5; 19:17; 30:17, 30.