Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

d Badala yake, orodha iliyopuliziwa ya mtume Paulo ya wanaume na wanawake waaminifu inayotajwa kwenye Waebrania sura ya 11, yaonekana yarejezea kijuujuu tu matukio yaliyorekodiwa katika Danieli. (Danieli 6:16-24; Waebrania 11:32, 33) Hata hivyo, orodha hiyo ya mtume si kamili pia. Kuna wengi kutia ndani Isaya, Yeremia, na Ezekieli, ambao hawatajwi katika orodha hiyo, lakini hilo halithibitishi hata kidogo kwamba hawakuishi.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki