Maelezo ya Chini
c Neno hilo la Kiebrania lahusiana na neno “kijiwe cha mviringo,” kwa kuwa vijiwe vidogo vilitumiwa kupiga kura. Nyakati nyingine nchi iligawanywa hivyo. (Hesabu 26:55, 56) Kichapo A Handbook on the Book of Daniel chasema kwamba hapa neno hilo lamaanisha “kilichowekwa kando (na Mungu) kwa ajili ya mtu.”