a Wasomi fulani huamini kuwa majengo ya bei rahisi na ya muda mfupi, kama vile mahema, au vibanda, yalitumiwa mara nyingi kuliko minara ya mawe. (Isaya 1:8) Kuwepo kwa mnara kungeonyesha kuwa mwenye-shamba amelifanyia “shamba lake la mizabibu” kazi kubwa zaidi.