Maelezo ya Chini
d Kitabu Nabonidus and Belshazzar, kilichoandikwa na Raymond Philip Dougherty, kinasema kwamba, ingawa Tarihi za Nabonidus hudai kwamba waliovamia Babiloni waliingia “bila kupigana,” mwanahistoria Mgiriki Xenophon huonyesha kuwa huenda ikawa damu nyingi ilimwagika.