Maelezo ya Chini b Nabii Mika alitaja kwamba Bethlehemu ni “mdogo kuwa miongoni mwa elfu za Yuda.” (Mika 5:2) Na bado, Bethlehemu huyo mdogo aliipata heshima isiyo na kifani ya kuwa mji ambamo Mesiya alizaliwa.