Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

b Yesu anaendelea kusimamia kazi ya kufanya wanafunzi. (Ufunuo 14:14-16) Leo, wanaume na wanawake Wakristo humwona Yesu kuwa Kichwa cha kutaniko. (1 Wakorintho 11:3) Na katika wakati wa Mungu uliowekwa, Yesu atachukua hatua akiwa “kiongozi na jemadari” kwa njia nyingine, wakati atakapoongoza lile pigano la kukata maneno juu ya adui za Mungu kwenye vita ya Har-Magedoni.—Ufunuo 19:19-21.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki