Maelezo ya Chini
b Ebed-meleki, ambaye alimwokoa Yeremia, na angeweza kwenda kwa Mfalme Sedekia bila kuzuiwa na mtu yeyote, anaitwa towashi. Inaonekana kwamba anatajwa kuwa towashi katika maana ya kuwa ofisa wa eneo la barazani, wala si katika maana ya kukatwa kiungo.—Yeremia 38:7-13.