Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Yaelekea kwamba Tarshishi ilikuwa mahali panapojulikana sasa kuwa Hispania. Hata hivyo, kulingana na vitabu fulani vya marejeo, usemi “merikebu za Tarshishi” unamaanisha aina ya merikebu zinazotumika, yaani “vyombo vya usafiri wa baharini vyenye milingoti mirefu” ambavyo “vilifaa kuenda-enda Tarshishi.” Maana yake, merikebu hizo zilionwa kuwa zinafaa kusafiri-safiri mwendo mrefu hadi bandari za mbali.—1 Wafalme 22:48.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki