Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Isaya 61:5 yaweza kuwa ilitimizwa nyakati za kale, kwa kuwa watu wasio Wayahudi waliambatana na Wayahudi wa asili wakati wa kurudi kwao Yerusalemu, na inaelekea walisaidia kuirudishia nchi hali yake ya kwanza. (Ezra 2:43-58) Hata hivyo, kuanzia mstari wa 6 unabii unaelekea kutumika kuhusu Israeli wa Mungu peke yake.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki