Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

b Akitoa maelezo juu ya mstari huo, Jerome, mtafsiri wa Biblia (aliyezaliwa katika karne ya nne W.K.) anaeleza desturi fulani ya kale iliyofuatwa na waabudu-sanamu siku ya mwisho ya mwezi wa mwisho katika mwaka wao. Aliandika hivi: “Walikuwa wakitandika meza iliyojaa aina-aina za vyakula na kikombe kilichojazwa divai tamu ili kuhakikisha kwamba mazao waliyopata mwaka jana au yale watakayopata mwaka unaokuja yataleta bahati nzuri.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki