Maelezo ya Chini
e Miti ni mfano unaofaa wa maisha marefu kwa maana ina maisha marefu kuliko vitu vingine vyote vilivyo hai vinavyojulikana. Kwa mfano, mzeituni huzaa matunda kwa mamia ya miaka, na huenda ukaishi hata miaka elfu moja.