Maelezo ya Chini
a Kwa mfano, sheria zilizoamuru kinyesi cha mwanadamu kifunikwe, wagonjwa watengwe, na mtu yeyote anayegusa maiti aoge, zilikuwapo muda mrefu kabla ya manufaa yake kutambuliwa.—Mambo ya Walawi 13:4-8; Hesabu 19:11-13, 17-19; Kumbukumbu la Torati 23:13, 14.