Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

b Ili kufutilia mbali dhambi ya Adamu, Yesu alilazimika kufa akiwa mtu mzima mkamilifu wala si mtoto mkamilifu. Kumbuka kwamba Adamu alitenda dhambi kimakusudi, alijua vizuri kabisa ubaya na matokeo ya tendo lake. Kwa hiyo, ili kuwa “Adamu wa mwisho” na kufunika dhambi hiyo, Yesu alihitaji kuamua kudumisha uaminifu wake kwa Yehova kupatana na ujuzi aliokuwa nao. (1 Wakorintho 15:45, 47) Kwa hiyo, maisha ya Yesu ya uaminifu akiwa duniani kutia ndani kifo chake cha dhabihu yalikuwa “tendo moja la kutetewa kuwa haki.”—Waroma 5:18, 19.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki