Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

b Mishnah inasema kwamba miaka kadhaa baadaye watu walilalamika kwa sababu njiwa waliuzwa kwa bei ghali sana hekaluni. Kisha bei ikapunguzwa mara moja kwa asilimia 99! Ni nani waliopata faida kubwa kutokana na biashara hiyo yenye ufanisi? Wanahistoria fulani wanadokeza kwamba masoko ya hekaluni yalimilikiwa na jamaa ya Anasi yule Kuhani wa Cheo cha Juu. Jamaa hiyo ya kikuhani ilipata ufanisi mkubwa sana kutokana na masoko hayo.—Yohana 18:13.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki