Maelezo ya Chini
b Kila moja ya sarafu hizo iliitwa leptoni. Hiyo ndiyo iliyokuwa sarafu ya Kiyahudi yenye thamani ndogo zaidi wakati huo. Lepta mbili zilikuwa sawa na thamani ya 1/64 ya mshahara wa siku moja. Sarafu mbili hata hazikutosha kununua shore mmoja. Shore alikuwa ndege mwenye gharama ya chini sana aliyeliwa na watu maskini.