Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Kitenzi phi·leʹo, kinachomaanisha ‘kuwa na shauku, kuthamini, au kupenda (kama mtu anavyompenda rafiki wa karibu au ndugu),” hutumiwa mara nyingi katika Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo. Aina fulani ya neno stor·geʹ, au upendo uliopo kati ya watu wa familia, inatumiwa kwenye 2 Timotheo 3:3 kuonyesha kwamba upendo huo ungekuwa haba katika siku za mwisho. Neno Eʹros, au upendo wa kimahaba kati ya watu wa jinsia tofauti, halitajwi katika Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo, ijapokuwa upendo huo unazungumziwa katika Biblia.—Mithali 5:15-20.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki