Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

b Maandiko mengine yanatumia semi kama hizo. Kwa mfano, “Mungu ni nuru” na “Mungu . . . ni moto unaokula kabisa.” (1 Yohana 1:5; Waebrania 12:29) Lakini semi hizo zinapasa kuonwa kuwa milinganisho (sitiari), kwa kuwa zinamlinganisha Yehova na vitu vya asili. Yehova ni kama nuru, kwa kuwa yeye ni mtakatifu na mwadilifu. Hana “giza” wala uchafu wowote. Naye anaweza kulinganishwa na moto kwa sababu ya nguvu zake za kuangamiza.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki