Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Mara nyingi Biblia huhusianisha tumaini la ufufuo na kumbukumbu la Yehova. Yobu aliyekuwa mwaminifu alimwambia Yehova hivi: “Laiti . . . ungeniandikia muda ulioamriwa, na kunikumbuka!” (Ayubu 14:13) Yesu alisema kwamba “wote wale waliomo ndani ya makaburi ya ukumbusho” watafufuliwa. Hilo ni kweli kwa sababu Yehova anawakumbuka kabisa wafu ambao anakusudia kuwafufua.—Yohana 5:28, 29.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki