Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Sheria za marabi zilisema kwamba hakuna yeyote aliyeruhusiwa kusimama umbali wa futi 6 hivi kutoka kwa mwenye ukoma. Lakini kukiwa na upepo, mwenye ukoma alisimama umbali wa futi 150 hivi. Kichapo Midrash Rabbah chataja rabi mmoja ambaye alijificha alipoona wenye ukoma, na rabi mwingine ambaye aliwatupia mawe wenye ukoma ili wasimkaribie. Kwa hiyo wenye ukoma walijua uchungu wa kukataliwa, kudharauliwa na kuchukiwa.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki