Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

b Hati fulani za kale hazina sehemu ya kwanza ya Luka 23:34. Hata hivyo, Tafsiri ya Ulimwengu Mpya na tafsiri nyingine nyingi zina maneno hayo kwa sababu yanapatikana kwenye hati nyingi mashuhuri. Ni wazi kwamba Yesu alikuwa akizungumza kuhusu askari Waroma ambao walimtundika mtini. Hawakujua walilokuwa wanafanya, kwa sababu hawakujua Yesu ni nani. Bila shaka, viongozi wa kidini ambao walichochea mauaji hayo walikuwa na hatia kubwa zaidi, kwa sababu walifanya hivyo kimakusudi na kwa nia mbaya. Wengi wao hawangeweza kusamehewa.—Yohana 11:45-53.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki