Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

e Kuharibiwa kwa Babiloni ni mfano mmoja tu wa unabii wa Biblia ambao umetimizwa. Mifano mingine inatia ndani kuharibiwa kwa Tiro na Ninawi. (Ezekieli 26:1-5; Sefania 2:13-15) Pia, unabii wa Danieli ulitabiri milki za ulimwengu ambazo zingetawala baada ya Babiloni. Zilitia ndani Ugiriki na muungano wa Umedi na Uajemi. (Danieli 8:5-7, 20-22) Unaweza kupata habari zaidi kuhusu unabii mbalimbali unaomhusu Masihi uliotimizwa na Yesu Kristo katika nyongeza “Yesu Kristo—Masihi Aliyeahidiwa.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki