Maelezo ya Chini
b Sherehe ya Saturnalia pia ilichangia kuchaguliwa kwa Desemba 25. Sherehe hiyo inayomheshimu mungu wa kilimo wa Waroma ilifanywa Desemba 17 hadi 24. Katika sherehe hiyo ya Saturnalia, watu walikula na kunywa, walijitumbuiza na kupeana zawadi.