Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Kuanzia mwaka wa 455 K.W.K. hadi mwaka wa 1 K.W.K. ni miaka 454. Kuanzia mwaka wa 1 K.W.K. hadi 1 W.K. ni mwaka mmoja (hakukuwa na mwaka sufuri). Na kuanzia mwaka wa 1 W.K. hadi mwaka wa 29 W.K. ni miaka 28. Tukijumlisha miaka hiyo tunapata jumla ya miaka 483. Yesu “alikatiliwa mbali” alipouawa mwaka wa 33 W.K., katika juma la 70 la miaka. (Danieli 9:24, 26) Unaweza kupata habari zaidi kuhusu unabii huo katika kitabu Sikiliza Unabii wa Danieli! sura ya 11, na Insight on the Scriptures, Buku la 2, ukurasa wa 899-901 au Étude Perspicase, Buku la 2, ukurasa wa 995-997. Vitabu hivyo vimechapishwa na Mashahidi wa Yehova.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki