Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Mtafsiri wa Biblia Joseph Rotherham anasema hivi kuhusu mataifa ya Kanaani ambayo Waisraeli waliiga matendo yao: “Ibada yao ilijaa mambo ya ngono na ilikuwa yenye ukatili sana. Wanawake walijitolea kupoteza staha yao ili kuheshimu miungu yao. Nyumba za makahaba zilikuwa takatifu kwao. Viungo vyao vya uzazi vilionyeshwa waziwazi huku vikiwakilishwa na ishara zenye kuchukiza. Walikuwa na makahaba watakatifu (!), waume kwa wake.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki