Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

b Jiji la Kala (Nimrud) lililojengwa upya na Ashurnasirpal lilikuwa umbali wa kilometa 35 hivi kusini-mashariki ya Ninawi. Jumba la Makumbusho la Uingereza lina mabamba ya kuta kutoka Kala, na maelezo yake yanasema hivi: “Ashurnasirpal alieleza kinaganaga ukatili na unyama wake katika vita. Wafungwa walinyongwa au kutundikwa mitini kwenye kuta za majiji yaliyoshindwa . . . ; vijana wanaume na wanawake walitolewa ngozi wakiwa hai.”—Archaeology of the Bible.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki