Maelezo ya Chini
a Huenda unabii huo ulitimizwa mara ya kwanza katika enzi ya Wamakabayo wakati ambapo Wayahudi waliokuwa chini ya uongozi wa Wamakabayo walipowafukuza adui zao kutoka Yuda na kuliweka hekalu wakfu tena. Hilo liliwawezesha mabaki ya Wayahudi kumkaribisha Masihi alipotokea.—Danieli 9:25; Luka 3:15-22.