Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Kwa mfano, mwanamke huyo anapotaka kujua kwa nini Myahudi anazungumza na Msamaria, anataja ugomvi ambao umekuwako kwa karne nyingi kati ya watu wa jamii hizo mbili. (Yohana 4:9) Pia, anakazia kwamba wao ni wazao wa Yakobo, jambo ambalo Wayahudi wa wakati huo wanapinga vikali. (Yohana 4:12) Wayahudi wanawaita Wasamaria, Wakutha, ili kukazia kwamba wametokana na jamii ya kigeni.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki