Maelezo ya Chini
a Huenda mkoba wa mshipi ulikuwa aina ya mshipi uliotumiwa kubebea sarafu za pesa. Mfuko wa chakula ulikuwa mkubwa zaidi na kwa kawaida ulitengenezwa kwa ngozi, nao ulibebwa begani na ulitumiwa kubebea chakula au vitu vingine vya lazima.