Maelezo ya Chini
b Maneno hayo ya mwisho yanayopatikana kwenye Matendo 20:35 yananukuliwa na mtume Paulo tu. Huenda alisimuliwa maneno hayo (na mtu aliyemsikia Yesu akiyasema au alisimuliwa na Yesu aliyefufuliwa) au aliyapokea kupitia ufunuo kutoka kwa Mungu.