Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

b Pia, Yesu alisema kwamba kuhani na Mlawi huyo walikuwa wakija “kutoka Yerusalemu,” hivyo, walikuwa wakitoka hekaluni. Kwa hiyo, hakuna yeyote angeweza kusingizia kwamba walimwepuka mtu huyo aliyekuwa katika hali mahututi kwa sababu hawakutaka kuwa najisi kwa muda wasiweze kutumikia hekaluni.—Mambo ya Walawi 21:1; Hesabu 19:16.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki