Maelezo ya Chini
a Wanafunzi wa kemia wanajua kwamba madini ya risasi na dhahabu yanakaribiana sana katika jedwali la elementi. Kiini cha atomu ya risasi kina protoni tatu zaidi kuliko zile za dhahabu. Wanafizikia wa siku hizi hata wamefaulu kugeuza kiasi kidogo cha madini ya risasi kuwa dhahabu, lakini inagharimu sana kufanya hivyo, kwa kuwa nishati nyingi sana inahitajiwa.