Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Mara mbili siku hiyo, Yesu alitemewa mate, kwanza na viongozi wa dini, kisha na askari Waroma. (Mathayo 26:59-68; 27:27-30) Ingawa alitendewa kwa dharau jinsi hiyo, alivumilia bila kunung’unika, akitimiza unabii unaosema: “Uso wangu sikuuficha kutoka kwa mambo yenye kufedhehesha na mate.”—Isaya 50:6.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki