Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Maandiko ya Kiebrania hayataji neno “dhamiri” moja kwa moja. Hata hivyo, huu ni mfano mmoja unaoonyesha utendaji wa dhamiri. Kwa kawaida, neno “moyo” linawakilisha yule mtu wa ndani. Katika kisa kama hiki, linawakilisha sehemu hususa ya mtu wa ndani, yaani, dhamiri yake. Katika Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo, neno la Kigiriki linalotafsiriwa “dhamiri” linapatikana mara 30 hivi.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki