Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

d Kulingana na agano la Sheria, mwanamke alipaswa kumtolea Mungu toleo la dhambi baada ya kuzaa. (Mambo ya Walawi 12:1-8) Takwa hilo la kisheria liliwakumbusha kwamba wanadamu wanawapitishia watoto wao dhambi, nalo liliwasaidia Waisraeli kuwa na maoni yenye usawaziko kuhusu kuzaliwa kwa mtoto, na huenda hata liliwazuia wasifuate desturi za kipagani za siku za kuzaliwa.—Zaburi 51:5.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki