Maelezo ya Chini
c Walitumia aina moja ya mawe ya mizani waliponunua vitu na ile nyingine walipouza vitu, na katika visa vyote viwili walijifaidi wenyewe tu. Pia, nyakati nyingine walitumia mizani ambayo upande wake mmoja ulikuwa mrefu zaidi au mzito zaidi ya ule mwingine ili kumdanganya mteja wakati wowote ule.