Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Watu fulani huamini kwamba Theofilo alikuwa mtu mashuhuri ambaye hakuwa mwamini wakati huo, kwa kuwa katika Injili yake, Luka anamwita “mheshimiwa Theofilo.” (Luka 1:3) Lakini kwa sababu katika kitabu cha Matendo, Luka anamwita, “Ewe Theofilo,” wasomi fulani wanasema kwamba Theofilo alikuja kuwa mwamini baada ya kusoma Injili ya Luka; na ndiyo sababu Luka anaacha kumwita “mheshimiwa” na kumwandikia kama ndugu Mkristo.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki