Maelezo ya Chini
f Mpango huo wa muda ulitosheleza uhitaji uliotokea kwa kuwa wageni walibaki Yerusalemu ili kujifunza mengi zaidi kuhusu imani hiyo mpya. Huo ulikuwa mpango wa hiari wa mtu kutoa mali yake, ili vitu vyote vitumiwe kwa ushirika. Haukuwa sera ya ujamaa.—Mdo. 5:1-4.