Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

b Inaonekana kwamba kwa kawaida wanafunzi wapya walitiwa mafuta, au kupokea roho takatifu walipobatizwa. Baada ya kupokea roho hiyo, wakawa na tumaini la kutawala wakiwa wafalme na makuhani pamoja na Yesu mbinguni. (2 Kor. 1:21, 22; Ufu. 5:9, 10; 20:6) Hata hivyo, katika kisa hiki, Wakristo wapya hawakutiwa mafuta walipobatizwa. Walipokea roho takatifu pamoja na uwezo wa kufanya miujiza walipowekewa mikono na Petro na Yohana.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki