Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Baadhi ya Wayahudi waliwadharau watengenezaji wa ngozi kwa sababu walikuwa wakishika ngozi, mizoga ya wanyama na vitu vingine vyenye kuchukiza katika kazi yao. Watengenezaji wa ngozi walionwa kuwa hawastahili kuingia hekaluni, nao walipaswa kufanyia kazi yao umbali usiopungua mita 22 kutoka mjini. Huenda hiyo ndiyo sababu nyumba ya Simoni ilikuwa “kando ya bahari.”​—Mdo. 10:6.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki