Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

b Daktari mmoja ambaye pia ni mwandishi wa vitabu, aliandika kwamba huenda ugonjwa ambao Yosefo na Luka wanataja ulisababishwa na minyoo iliyoziba utumbo. Nyakati nyingine mtu mwenye ugonjwa huo hutapika minyoo au, anapokaribia kufa, minyoo hiyo hutoka. Kitabu kimoja kinasema: “Maneno hususa ya kidaktari anayotumia Luka yanafafanua vizuri kifo chenye maumivu kilichompata [Herode].”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki