Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

g Tangu wakati huo na kuendelea, Sauli alianza kuitwa Paulo. Watu fulani husema kwamba alijipa jina hilo la Kiroma kwa heshima ya Sergio Paulo. Hata hivyo, kwa kuwa aliendelea kuitwa Paulo hata alipoondoka Kipro, lazima kulikuwa na sababu nyingine, kwamba Paulo, “mtume wa mataifa,” aliamua kwamba tangu wakati huo na kuendelea atatumia jina lake la Kiroma. Huenda pia alitumia jina Paulo kwa sababu matamshi ya Kigiriki ya jina lake la Kiebrania, Sauli, yanafanana sana na neno la Kigiriki lenye maana mbaya.​—Rom. 11:13.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki