Maelezo ya Chini
a Paulo alitaka Onesimo akae naye, lakini hilo lingevunja sheria za Roma na vilevile haki za Mkristo Filemoni, bwana mkubwa wa Onesimo. Kwa hiyo, Onesimo akarudi kwa Filemoni, akiwa na barua kutoka kwa Paulo iliyomhimiza Filemoni ampokee kwa fadhili, kama ndugu yake wa kiroho.—Flm. 13-19.