Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

b Kulingana na Danieli 1:1, 2, Yehoyakimu alitiwa mkononi mwa Nebukadneza katika mwaka wa tatu wa kuwa kwake kibaraka. Huenda hilo likamaanisha kwamba mfalme huyo alikufa wakati wa mazingiwa, ambayo hatimaye yalifanikiwa. Inawezekana kwamba, kama mwanahistoria Yosefo alivyoandika, Nebukadneza alimuua Yehoyakimu na kuagiza mwili wake utupwe nje ya kuta za Yerusalemu bila kuzikwa. Hata hivyo, Biblia haisemi lolote kuhusu jambo hilo.—Yer. 22:18, 19; 36:30.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki