Maelezo ya Chini
a Kupiga punyeto ni tofauti na kusisimka kingono bila kukusudia. Kwa mfano, huenda mvulana akaamka akiwa amesisimka kingono au ametokwa na shahawa usiku. Vilevile, wasichana wengine husisimka kingono bila kukusudia, hasa kabla tu au baada ya kipindi cha hedhi. Tofauti na hali hizo, kupiga punyeto kunatia ndani kujisisimua kimakusudi.