Maelezo ya Chini d Ruthu ni mmoja kati ya wanawake watano ambao Biblia inaorodhesha kwenye ukoo wa Yesu. Mwingine ni Rahabu, ambaye alikuwa mama ya Boazi. (Mt. 1:3, 5, 6, 16) Kama Ruthu, yeye pia hakuwa Mwisraeli.