Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

b Maskani hiyo takatifu ilikuwa hema kubwa lenye umbo la mstatili, lililoshikiliwa kwa viunzi vya mbao. Hata hivyo, ilitengenezwa kwa vitu bora sana, yaani, ngozi ya sili, vitambaa maridadi vilivyopambwa, na mbao za bei ya juu zilizofunikwa kwa fedha na dhahabu. Maskani hiyo ilizungukwa na ua, na ndani ya ua huo kulikuwa na madhabahu yenye kupendeza ya kutolea dhabihu. Baadaye, yaelekea vyumba vingine vilivyotumiwa na makuhani vilijengwa kandokando ya maskani hiyo. Huenda Samweli alilala ndani ya mojawapo ya vyumba hivyo.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki